Prosesi na Martiniani

Prosesi na Martiniani (waliuawa Roma, Italia, 67 hivi) walikuwa Wakristo waliofia imani yao[1].

Kifodini cha Wat. Prosesi na Martiniani, mchoro wa Valentin de Boulogne, 1629.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Julai[2] au 11 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • David Hugh Farmer, "The Oxford Dictionary of Saints," Oxford: Clarendon Press, 1978, p. 337.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.