Rashidi Kawawa
(Elekezwa kutoka Rashid Mfaume Kawawa)
Rashidi Mfaume Kawawa (27 Mei 1926 - 31 Desemba 2009) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 22 Januari 1962 hadi tarehe 13 Februari 1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Alifuatwa na Edward Sokoine. Baadaye alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.
Maisha
haririRashidi Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe 27 Februari 1926 katika kijiji cha Matepwende, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Tanzania. Alianza elimu ya msingi huko Liwale, Lindi mnamo 1941 - 1942 na kuendelea na masomo ya sekondari katika shule ya Dar es Salaam Secondary School.[1]
Viungo vya nje
hariri- Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu Waziri Wakuu waliopita Archived 17 Machi 2010 at the Wayback Machine.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rashidi Kawawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |