Rikardo Pampuri

Mt. Rikardo Pampuri.

Rikardo Pampuri, O.H. (Trivolzio, 2 Agosti 1897 - Milano, 1 Mei 1930) alikuwa daktari na bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia.

Kabla ya hapo alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Yohane Paulo II alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 1 Novemba 1989.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rikardo Pampuri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.