Robati wa Newminster

Robati wa Newminster (Craver, North Yorkshire, Uingereza, 1100 hivi – Morpeth, Northumbria, 7 Juni 1159) alikuwa padri mwanajimbo, tena paroko, ambaye aliingia monasteri ya Wabenedikto[1] ambayo baadaye ilijiunga na urekebisho wa Citeaux[2]. Kisha kuishi huko miaka minne alipata kuwa abati wa monasteri mpya (kwa Kiingereza cha Kale Newminster) akiiongoza na kuistawisha kwa miaka 21 hadi kifo chake[2].

Sanamu yake ndogo katika mimbari ya Baumgartenberg, Austria.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Butler, Rev. Alban. The Lives or the Fathers, Martyrs and Other Principal Saints, Vol. 6, D. & J. Sadlier, & Company, 1864". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-05. 
  2. 2.0 2.1 "Sankovitz, Margaret. "Our Patron" St. Robert Parish, Shorewood, Wisconsin". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-27. Iliwekwa mnamo 2021-06-05. 
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.