Romano Mwimbaji

(Elekezwa kutoka Romano Mshairi)

Romano Mwimbaji (Homs au Damasko, Syria, 490 hivi - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 556 hivi) alikuwa shemasi mwenye asili ya Kiyahudi aliyeishi katika monasteri na kutunga tenzi maarufu hadi leo ambazo zimemfanya labda bora kati ya watunzi wote wa muziki wa Kikristo[1].

Picha takatifu ya Mt. Romano (1649).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Oktoba[2].[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Matoleo na tafsiri hariri

  • Sancti Romani Melodi Cantica. Vol. 1: Cantica Genuina. – Vol. 2: Cantica Dubia. Ed. by Paul Maas and Constantine A. Trypanis. Oxford, 1963–1970. (complete edition)
  • J. B. Pitra, Analecta Sacra, i. (1876), containing 29 poems, and Sanctus Romanus Veterum Melodorum Princeps (1888), with three additional hymns from the Monastery at Patmos. See also Pitra's Hymnographie de l'église grecque (1867)
  • Karl Krumbacher, Geschichte der byzantinischen Litteratur (Munich, 1897)
  • Studien zu Romanos (Munich, 1899)
  • Umarbeitungen bei Romanos (Munich, 1899)

Uchunguzi hariri

  • Thomas Arentzen, The Virgin in Song: Mary and the Poetry of Romanos the Melodist (Philadelphia, 2017)
  • Sarah Gador-Whyte, Theology and Poetry in Early Byzantium: The Kontakia of Romanos the Melodist (Cambridge UK, 2017)
  • José Grosdidier de Matons, Romanos le Mélode et les origines de la poésie religieuse à Byzance (Paris, 1977)

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.