Saint Martin
Saint Martin (jina rasmi la Kifaransa ni Collectivité de Saint-Martin) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa linalopatikana kaskazini mwa kisiwa chenye jina hilo, ambacho thuluthi ya kusini ni mwanachama wa Ufalme wa Nchi za Chini, mbali ya visiwa vingine vidogo.
Ukubwa wa eneo ni kilometa mraba 53.2.
Makao makuu yako Marigot.
Idadi ya wakazi ni 35,107 (mnamo Januari 2014).
Kabla ya mwaka 2007 ilikuwa chini ya Guadeloupe.[1][2]
Mkataba wa Lisbon unaweka wazi kuwa Saint-Martin ni sehemu ya Umoja wa Ulaya.[3]
Wakazi wanaongea hasa Kiingereza na Krioli yake, mbali ya Kifaransa ambacho ndicho lugha rasmi.
Tanbihi
hariri- ↑ Staff reporter. "Saint-Barth To Become An Overseas Collectivity" (PDF), St. Barth Weekly, 9 February 2007, p. 2. Retrieved on 9 February 2007.
- ↑ "Les élections du futur conseil territorial font débat - Politique - Nouvelles sur Newmedia.fr - New Media : Infos Guadeloupe, Martinique, Guyane, Saint-Martin, Saint-Barthelémy, Caraïbes - Infos Newmedia.fr". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-18. Iliwekwa mnamo 2015-02-23.
- ↑ "Treaty of Lisbon, Article 349 and 355". Iliwekwa mnamo 18 Machi 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link).
Viungo vya nje
hariri- (Kifaransa) Official website of the Collectivity of Saint Martin Archived 9 Juni 2012 at the Wayback Machine.
- Official website of the Tourist Office of Saint Martin
- Wikimedia Atlas of Saint Martin (France)
- Saint Martin entry at The World Factbook
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Martin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |