Sampi (kigiriki σαμπῖ ikaandikwa kama Ϡ au Ͳ) ilikuwa herufi katika matumizi ya alfabeti ya Kigiriki ya kale kabla ya haikusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama S au SS.

Greek Sampi 2 shapes.svg
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma uc lc.svg Digamma 6 San uc lc.svg San 90
Stigma uc lc.svg Stigma 6 Sho uc lc.svg Sho 90
Heta uc lc.svg Heta 8 Qoppa uc lc.svg Koppa 90
Sampi uc lc T-shaped.svg Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Haikuendelea kutumiwa kama herufi lakini iliendelea kutumiwa kama alama kwa namba 900 pekee.

Viungo vya NjeEdit