Lambda ni herufi ya kumi na moja katika Alfabeti ya Kigiriki. Lambda kubwa Λ ina umbo la pembe yenye ncha juu, ni tofauti na lambda ndogo λ.

Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Sho 90
Heta 8 Koppa 90
Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Kwa matumizi ya tarakimu inamaanisha namba 30.

Matamshi yake ni sawa na "L" kwa Kiswahili.

Matumizi ya kisayansi

hariri

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na sayansi. Mifano kadhaa ni

Marejeo

hariri