Sesilia

Sesilia (kwa Kilatini Caecilia) alikuwa mwanamke Mkristo wa mjini Roma katika karne ya 2 na ya 3 BK.

Mt. Sesilia kadiri ya Guido Reni, 1606.
Mt. Sesilia na Malaika kadiri ya Orazio Gentileschi

Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira mfiadini na somo wa wanamuziki kwa sababu inasimuliwa kwamba hao walipokuwa wakiimba kwenye arusi yake, mwenyewe "alikuwa akimuimbia Bwana moyoni".[1][2][3]

Sikukuu yake inaadhimishwa na madhehebu mbalimbali tarehe 22 Novemba.[4][5][6]

PichaEdit

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.