Speusipo, Elasipo, Melasipo na Leonila

Speusipo, Elasipo, Melasipo na Leonila (walifariki 175) walikuwa Wakristo wa Kapadokia, leo nchini Uturuki, waliofia dini yao wakati wa dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius.

Watatu wa kwanza walikuwa ndugu pacha, wa mwisho bibi yao.

Habari zao ziliandikwa na Neo, baadaye mfiadini mwenzao.

Tangu kale wote wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao ni tarehe 17 Januari[1] au 29 Januari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.