Stefano wa Hungaria

Mt. Stefano wa Hungaria.

Mfalme Stefano I wa Hungaria (kwa Kihungaria (Szent) István}}; kwa Kilatini Sanctus Stephanus; Esztergom, Hungaria, 967 au 969 au 97515 Agosti 1038, Esztergom[1][2][3] au Székesfehérvár, kabla hajabatizwa aliitwa Vajk na kuwa Mtawala mkuu wa Wahungaria (9971000) halafu akawa mfalme wa kwanza wa Hungaria (1000–1038).

Alieneza sana ufalme wake pamoja na Kanisa Katoliki.

Papa Gregori VII alimtangaza mtakatifu pamoja na mwanae, Emeriko wa Hungaria na Gerardo Sagredo tarehe 20 Agosti 1083.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Agosti.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stefano wa Hungaria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.