Tabenakulo
Tabenakulo ni sanduku imara la kuhifadhia sakramenti ya ekaristi katika baadhi ya madhehebu ya Ukristo, hasa Kanisa Katoliki, la Kiorthodoksi na ushirika wa Anglikana na pengine hata kati ya Walutheri.
Desturi hiyo inategemea imani kuhusu Yesu Kristo kuendelea hata baada ya Misa kwisha kuwemo katika mkate uliowekwa wakfu.
Lengo la kutunza hiyo sakramenti inayosadikiwa kuwa "Mwili wa Kristo" ni kuweza kuipeleka kwa wagonjwa wasioweza kushiriki Misa yenyewe.
Hata hivyo, kwa kuwa Wakristo hao wanaamini humo ndani Yesu yumo, tabenakulo inakuwa kivutio hasa kwa sala binafsi.
Tanbihi
hariri- "General Instruction of the Roman Missal 314-317". United States Conference of Catholic Bishops. Iliwekwa mnamo 13 Aprili 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
hariri- Freestone, W. H. (1917) The Sacrament Reserved. (Alcuin Club Collections; 21.)
- King, Archdale A. & Pocknee, Cyril E. (1965). Eucharistic Reservation in the Western Church. New York: Sheed and Ward. ISBN 0-264-65074-3
- Maffei, Edmond (1942) La réservation eucharistique jusqu'à la Renaissance. Brussels: Vromant
- Raible, F. (1908) Der Tabernakel einst und jetzt: eine historische und liturgische Darstellung der Andacht zur aufbewahrten Eucharistie
- Stone, Darwell (1917) The Reserved Sacrament (Handbooks of Catholic Faith and Practice.)
- Timmermann, Achim (2009) Real Presence: Sacrament Houses and the Body of Christ, c. 1270–1600. Turnhout: Verlag Brepols Publishers NV ISBN 978-2-503-53012-3
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tabernacle article in the Catholic Encyclopedia at Newadvent.org
- Tabernacle (liturgical) article in Orthodoxwiki.org
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tabenakulo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |