Tarafa ya Jacqueville


auto

Tarafa ya Jacqueville (kwa Kifaransa: département De Jacqueville) ni moja kati ya tarafa tatu za Mkoa wa Grands-Ponts ulioko Kusini mwa Cote d'Ivoire.

Tarafa ya Jacqueville
Mahali paTarafa ya Jacqueville
Mahali paTarafa ya Jacqueville
Eneo la Tafara ya Jacqueville.
Imara: 2011
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Wilaya Lagunes
Mkoa Grands-Ponts
Serikali[1]
 - Prefect Kouamé Jean-Noël N'Da
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 56,308
GMT (UTC+0)

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 56,308 .

Makao makuu ya eneo hilo ni Jacqueville.

Tarafa ya Jacqueville sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:

  • Attoutou;
  • Jacqueville.

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.