Teofilo wa Corte

Sanamu yake katika kanisa la Alando.

Teofilo wa Corte (Corte, Corsica, leo nchini Ufaransa, 30 Oktoba 1676 - Fucecchio, leo nchini Italia, 19 Mei 1740), mwanafunzi wa Thomas wa Cori, alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo na mhubiri maarufu.

Jina lake la awali lilikuwa Biagio Arrighi.urekebisho shirikani kwa kuanzisha mahali pa upwekeni.

Alijitahidi kueneza

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 29 Juni 1930, alipotangazwa na Papa Pius XI.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teofilo wa Corte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.