Thomas wa Cantilupe

(Elekezwa kutoka Thoma Cantelupe)

Thomas wa Cantilupe (Hambleden, 1218 hivi - Montefiascone, Italia, 25 Agosti 1282) alikuwa kansela wa Uingereza na askofu wa Hereford, akiwajibika kwa uadilifu mkubwa katika siasa na katika uchungaji vilevile, akisaidia sana fukara.

Mchoro wake wa zamani.

Papa Yohane XXII, alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 17 Aprili 1320.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.