Flavi Klementi
(Elekezwa kutoka Titus Flavius Clemens)
Flavi Klementi (jina kamili kwa Kilatini: Titus Flavius T. f. T. n. Clemens, alifariki Roma, 95) alikuwa ndugu wa kaisari Domitian, na alikuwa konsuli wa Roma pamoja naye tangu Januari hadi Aprili mwaka 95 BK.
Muda mfupi baada ya kuacha kazi alihukumiwa adhabu ya kifo kama mkanamungu[1], tuhuma iliyotumiwa na Dola la Roma dhidi ya Wayahudi na Wakristo kwa kuwa walikataa ibada za miungu[2][3][4][5].
Anaheshimiwa na Wakristo kama mtakatifu mfiadini[6][7] sawa na mke wake Flavia Domitila.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Grainger, Nerva and the Roman Succession Crisis of AD 96-99, p. 12.
- ↑ Cassius Dio, Roman History lxvii. 14.
- ↑ Philostratus, Life of Apollonius of Tyana, viii. 15.
- ↑ Eusebius, Historia Ecclesiastica, iii. 14.
- ↑ Jerome, Epistulae, 27.
- ↑ Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology, vol. I, p. 788 ("T. Flavius Clemens").
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92420
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Gaius Suetonius Tranquillus, De Vita Caesarum (Lives of the Caesars, or The Twelve Caesars).
- Lucius Flavius Philostratus, The Life of Apollonius of Tyana.
- Eusebius of Caesarea, Historia Ecclesiastica.
- Eusebius Sophronius Hieronymus (St. Jerome), Epistulae.
- Annibale Albani, T. Flavii Clementis Viri Consularis et Martyris Tumulus illustratis, Urbino (1727).
- Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology, William Smith, ed., Little, Brown and Company, Boston (1849).
- Franz Xaver Kraus, Roma Sotterranea: Die Römische Katakomben, Herder, Freiburg-in-Breisgau (1873), p. 41.
- Heinrich Grätz, Die Jüdischen Proselyten im Römerreiche unter den Kaisern Domitian, Nerva, Trajan und Hadrian (1884), pp. 28 et seq.
- Heinrich Grätz, Geschichte der Juden von den ältesten Zeiten bis auf die Gegenwart, 3d ed., vol. iv, p. 403.
- Lebrecht, in Abraham Geiger, Jüd. Zeit., vol. xi., p. 273.
- Abraham Berliner, Geschichte der Juden in Rom, von der ältesten Zeit bis zur Gegenwalt, J. Kaufmann, Frankfurt am Mein (1893), p. 39.
- Théodore Reinach, Fontes rerum Judaicarum, vol. i, p. 195.
- Paul von Rohden, Elimar Klebs, & Hermann Dessau, Prosopographia Imperii Romani (The Prosopography of the Roman Empire), Berlin (1898), vol. ii. p. 81.
- Gavin Townend, "Some Flavian Connections", in Journal of Roman Studies, No. 51 (1961).
- John D. Grainger, Nerva and the Roman Succession Crisis of AD 96–99, Routledge (2004).
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Flavi Klementi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |