Tomaso wa Villanova

Tomaso wa Villanova, O.S.A., awali Tomás García y Martínez (Villanueva de los Infantes, 1488Valencia, 8 Septemba 1555) alikuwa mtawa kutoka Hispania maarufu kama mhubiri na mwandishi.

Picha ya Mt. Tomas (Madrid, 1791).

Hatimaye alipata kuwa askofu mkuu aliyeshughulikia sana maskini wa jimbo lake.

Papa Aleksanda VII alimtangaza mtakatifu tarehe 1 Novemba 1658.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: