Ugo wa Grenoble
Ugo wa Grenoble (Châteauneuf-sur-Isère, Ufaransa, 1053 – Grenoble, Ufaransa, 1 Aprili 1132) alikuwa askofu wa Grenoble kwa miaka 52 (1180 - 1132).
Alijitahidi kurekebisha maadili ya mapadri na walei kwa kuunga mkono juhudi za Papa Gregori VII, lakini ni maarufu hasa kwa kumwezesha mwalimu wake Bruno Mkartusi kuanzisha monasteri yake ambayo Ugo alipata kuwa abati wake wa kwanza[1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu kutokana na Papa Inosenti II kumtangaza hivyo tarehe 22 Aprili 1134[2].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/48050
- ↑ "Saint Hugh of Grenoble". Immaculate Heart of Mary's Hermitage.
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
hariri- Herbermann, Charles, mhr. (1913). Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
- "Histoire de l'Ordre de Chalais". Fédération des abbayes chalaisiennes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-12. Iliwekwa mnamo 2014-06-30.
Viungo vya nje
hariri- (Kifaransa) Biography of Hugh
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |