Valeriani wa Tournus

Valeriani wa Tournus (alikatwa kichwa katika eneo hilo[1] , leo nchini Ufaransa) ni mmojawapo kati ya Wakristo wanaoheshimiwa tangu kale kama watakatifu wafiadini.

Labda Mt. Valeriani ni yule aliyechorwa upande wa kulia.

Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 24 Novemba 1900[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Jean Marilier, BSS, vol. XII (1969), col. 914.
  2. Index ac status causarum (1999), pp. 452 e 599.
  3. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

  • Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.