Viborada (pia: Wiborada, Guiborat, Weibrath au Viborata; Aargau, leo nchini Uswisi, karne ya 9St. Gallen, Uswisi, 1 Mei 926) alikuwa bikira mkaapweke mwenye karama za pekee ambaye hatimaye aliuawa na Wahungari Wapagani kwa sababu ya imani yake na ya maisha yake ya kitawa[1].

Mt. Viborada katika mchoro mdogo wa mwaka 1430 hivi.
Kifodini cha Mt. Viborada.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Tena ndiye wa kwanza kutangazwa na Papa. Hilo lilifanywa na Papa Klementi II mwaka 1047.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Mei[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.