Visenta Maria Lopez

Visenta Maria Lopez (Cascante, Hispania, 22 Machi 1847 - Madrid, 26 Desemba 1890) alikuwa bikira mwanzilishi wa shirika la Masista wa Maria Imakulata ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia wasichana.

Picha yake halisi.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri mwaka 1950 na Papa Paulo VI mtakatifu mwaka 1975.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.