Vitalis wa Salzburg
Vitalis wa Salzburg (Ireland, karne ya 7 - Salzburg, Austria, 728 hivi) alikuwa mmisionari huko Bavaria na Austria.
Mfuasi wa Rupert wa Salzburg katika juhudi na makesha, alichaguliwa naye kuwa mwandamizi wake kama askofu wa pili wa Salzburg akawaleta kwenye imani ya Kristo watu wa Pinzgau [1].
Alisifiwa kwa upole, huruma, upendo na urahisi wa kupatana [2]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |