Wafiadini wa Sufetula
Wafiadini wa Sufetula (leo Sbeitla, nchini Tunisia) walikuwa Wakristo sitini waliouawa kwa ajili ya imani yao baada ya kubomoa sanamu ya mungu Mercurius[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |