Waoratori

Waoratori (kifupi: C.O.) ni mapadri na mabruda wa Kanisa Katoliki wanaoishi pamoja kijumuia kwa kufungwa na upendo, bila ya nadhiri.

Filipo Neri.

Shirika hilo lilianzishwa na Filipo Neri (15151595) mjini Roma. Leo lina nyumba zaidi ya 70 ulimwenguni kote, zikiwa na mapadri 500 hivi.[1]

Watakatifu wa shirikaEdit

Wenye heri wa shirikaEdit

TanbihiEdit

  1. History. The London Oratory. Iliwekwa mnamo 2007-12-24.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waoratori kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.