Kaunti ya Kisii

Kaunti ya Kisii ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Kisii.

UchumiEdit

Wakazi wengi wa kaunti hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya Kifedha[1].

Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mapato ya Kilimo.

Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, Ndizi na Chai.

Tazama PiaEdit

MarejeoEdit

  1. Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org

Viungo vya NjeEdit