Yared wa Ethiopia

Yared wa Ethiopia (5 Aprili 525 - 11 Mei 571) ni kati ya Wakristo maarufu wa Ethiopia[1].

Anatajwa kama mwanzilishi wa muziki wa Kikristo nchini.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Mei.

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

Viungo vya nje Edit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.