Yohane-Fransisko-Regis Clet

Yohane-Fransisko-Regis Clet, C.M. (Grenoble, 19 Agosti 1748Wuchang, 18 Februari 1820) alikuwa padri kutoka Ufaransa aliyefanya kwa miaka 30 umisionari mgumu barani Asia akawekwa katika kifungo kikali gerezani akauawa kwa kunyongwa nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.[1]

Mtakatifu akishika msalaba.

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pia pamoja na wenzake tarehe 9 Julai[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Saint Francis Ferdinand de Capillas". Patron Saints Index. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24.
  2. "Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648)" (kwa Norwegian). katolsk.no. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.