Yohane Mbatizaji Wu Mantang

Yohane Mbatizaji Wu Mantang (Xihetou, 1883 hivi - Xiaoluyi, 29 Juni 1900) alikuwa mvulana wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane Mbatizaji Wu Mantang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.