Yohane Petro Neel

Yohane Petro Neel, M.E.P. (Soleymieux, 18 Oktoba 1832Kaiyang, 18 Februari 1862) alikuwa padri kutoka Ufaransa aliyefanya umisionari barani Asia akauawa kwa kuburuzwa kwanza na farasi mwenye kasi na hatimaye kukatwa kichwa kwa sababu ya kuhubiri nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.[1]

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Saint Francis Ferdinand de Capillas. Patron Saints Index. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24.
  2. Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648) (Norwegian). katolsk.no. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24.
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.