Yohane wa Shanghai na San Francisco

Yohane wa Shanghai na San Francisco (kwa Kirusi: Иоанн Шанхайский и Сан Францисский, Ioann Shankhayskiyi i San Frantsiskyi; jina la awali: Михаил Борисович Максимович, Mikhail Borisovich Maximovitch; Adamovka, wilaya ya Izyum, mkoa wa Kharkov, leo nchini Ukraina, 4 Juni 1896Seattle, Washington, USA, 2 Julai 1966) alikuwa mmonaki, padri, askofu na mmisionari wa Kiorthodoksi huko China na Marekani.

Mt. Yohane alipofika Shanghai.

Alijulikana pia kwa karama ya kutenda miujiza.

Alitangazwa na Kanisa lake kuwa mtakatifu tarehe 2 Julai 1994.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe hiyohiyo.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Rose, Fr. Seraphim & Abbot Herman. (1987). Blessed John the wonderworker: A preliminary account of the life and miracles of Archbishop John Maximovitch (Third, revised ed.). Platina: St. Herman of Alaska Brotherhood. ISBN 0-938635-01-8.
  • Father Seraphim: His Life and Work ISBN 1-887904-07-7.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.