Yusta na Rufina (Sevilia, Hispania, 268 na 270 - Sevilia, 287) walikuwa dada na mdogo wake waliouawa kwa sababu ya imani ya Kikristo.

Wat. Yusta na Rufina, mchoro wa Murillo.

Kisha kukamatwa na gavana Diogeniano, waliteswa kikatili na kuachwa bila chakula gerezani; ndipo alipofariki Yusta[1]. Rufina alizidi kukiri imani yake hadi alipovunjwa shingo kwa sababu hiyo[2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 17 Julai[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.