Ziwa Galilaya

(Elekezwa kutoka Ziwa Genesareti)

Ziwa Galilaya, pia Kinneret, Ziwa la Genesareti, au Ziwa la Tiberia (kwa Kiebrania יָם כִּנֶּרֶת, kwa Kiarabu بحيرة طبريا) ni ziwa lenye umbo la yai kaskazini mwa Israeli. Ni kama kilomita 53 kwa 21 kwa 13.

Ziwa Galilaya
Faili:File:Kineret (Mar da Galiléia) P1090310 (5151207637).jpg
Anwani ya kijiografia 32°50′N 35°35′E / 32.833°N 35.583°E / 32.833; 35.583
Mito ya kuingia Mto Yordani na makorongo kadhaa[1]
Mito ya kutoka Mto Yordani na uvukizaji
beseni km2 2 730 (sq mi 1 050)[2]
Nchi za beseni Palestine, Syria, Lebanon, Israel
Urefu km 21 (mi 13)
Upana km 13 (mi 8.1)
Eneo la maji km2 166 (sq mi 64)
Kina cha wastani m 25.6 (ft 84)
Kina kikubwa m 43 (ft 141)
Mjao km3 4 (cu mi 0.96)
Muda wa maji kukaa ziwani miaka 5 years year
Urefu wa pwani (km) km 53 (mi 33)
Kimo cha uso wa maji juu ya UB -m 212.07 (ft 695.8)
Visiwa 2[Insiyokaminika]
Miji mikubwa ufukoni Tiberias, Tel Katzir
Marejeo [1][2]
1 Shore urefu is not a well-defined measure.
Ziwa kutoka angani.
Ramani ya Ziwa Galilaya kuhusiana na Bahari ya Chumvi.

Eneo linafikia pengine kilomita mraba 166.7 na kina chake mita 43.[3]

La pekee ni kwamba liko chini ya usawa wa bahari (mita 209-215),[4] hivyo ni ziwa la maji baridi lililoko chini kuliko yote duniani. Bahari ya Chumvi tu liko chini zaidi.[5]

Maji yake yanategemea kwa kiasi kikubwa mto Yordani ambao unaingia kaskazini na kutoka tena kusini mwa ziwa hilo.

Umaarufu wa ziwa hilo unatokana hasa na Yesu kulitembelea na kulivuka mara nyingi, inavyoelezwa na Injili zote nne.

Mandhari yote ya ziwa
Upande wa kusini

Tanbihi

hariri
  1. 1.0 1.1 Aaron T. Wolf, Hydropolitics along the Jordan River Ilihifadhiwa 28 Mei 2010 kwenye Wayback Machine., United Nations University Press, 1995
  2. 2.0 2.1 "Exact-me.org". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-25. Iliwekwa mnamo 2016-11-17.
  3. "Data Summary: Lake Kinneret (Sea of Galilee)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-03. Iliwekwa mnamo 2016-11-17.
  4. "Kinneret - General" (kwa hebrew). Israel Oceanographic & Limnological Research Ltd.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. The 1996-discovered subglacial Lake Vostok challenges both records; it is estimated to be m 200 (ft 660) to m 600 (ft 2 000) below sea level.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons

  Ziwa Galilaya travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Galilaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.