1695
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 16 |
Karne ya 17
| Karne ya 18
| ►
◄ |
Miaka ya 1660 |
Miaka ya 1670 |
Miaka ya 1680 |
Miaka ya 1690
| Miaka ya 1700
| Miaka ya 1710
| Miaka ya 1720
| ►
◄◄ |
◄ |
1691 |
1692 |
1693 |
1694 |
1695
| 1696
| 1697
| 1698
| 1699
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1695 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
- Kuanzishwa kwa Ufalme wa Ashanti. Kufuatana na mapokeo ya Waashanti mfalme wa Kumasi (au:Kumasihene) Osei Kofi Tutu I alipokea "kikalio cha dhahabu" kama alama ya kuteuliwa na mbinguni lakini hali halisi kiti kilitengenezwa na kuhani Okomfo Anokye.
- 27 Januari: Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Dola la Uturuki badala ya Ahmad II aliyefariki
- 17 Julai: Benki ya Uskoti inaanzishwa kwa sheria ya bunge la Uskoti
- 31 Desemba: Kodi ya madirisha inazishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofari ili kuepukana na kodi hiyo.
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
WaliofarikiEdit
- 8 Julai - Christiaan Huygens, mwanasayansi kutoka Uholanzi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: