97
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 1 KK |
Karne ya 1
| Karne ya 2
| ►
◄ |
Miaka ya 60 |
Miaka ya 70 |
Miaka ya 80 |
Miaka ya 90
| Miaka ya 100
| Miaka ya 110
| Miaka ya 120
| ►
◄◄ |
◄ |
93 |
94 |
95 |
96 |
97
| 98
| 99
| 100
| 101
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 97 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 28 Oktoba - Kaisari Nerva wa Roma amteua Traiano kama mfuasi wake kwa kusudi la kuzuia uasi wa kijeshi.
- Koloni ya Curculum yaanzishwa na Waroma wa Kale huko Numidia - leo ni mji wa Djemila katika Aljeria.
- Halmashauri ya sanhedrini ya Jamnia pamoja na cheo cha Nasi yatambuliwa na Kaisari Nerva kama mwakilishi wa Wayahudi katika Dola la Roma.
- Jeshi la China lafika Bahari ya Kaspi likiongozwa na jemadari Ban Chao na kuanzisha ubalozi katika Parthia lakini haiendelei hadi eneo la Roma jinsi ilivyokusudiwa.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
Waliofariki
hariri- Mnamo 97: Timotheo aliyekuwa mwanafunzi wa Mtume Paulo
- Mnamo 97: Tito aliyekuwa mwanafunzi wa Mtume Paulo
Wikimedia Commons ina media kuhusu: