Adalberto wa Egmond

Adalberto wa Egmond, O.S.B. (alifariki Egmond, Uholanzi, 710 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Northumbria (Uingereza) aliyefanya umisionari kwa miaka 20 katika Frisia ya leo, akiwa pamoja na Wilibrodi na wengineo.

Mchoro wa watakatifu Bonifas mfiadini, Papa Gregori I, Adalberto na wa padri Jeroen van Noordwijk, kazi ya Jan Joesten van Hillegom, 1530.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Juni[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.