Wilibrodi (kwa Kilatini Villibrordus;[1] 658 hivi – 7 Novemba 739) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Northumbria (Uingereza) maarufu kwa umisionari wake katika Netherlands ya leo, uliomfanya aitwe "Mtume wa Wafrisia".

Sanamu ya Mt. Wilibrodi huko Echternach.
Ukumbusho wa Wilibrodi huko Trier.
Kaburi la Mt. Wilibrodi.

Alikuwa askofu wa kwanza wa Utrecht akafariki huko Echternach (leo nchini Luxembourg).[2]

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

 
Kanisa la Mt. Wilibrodi huko Gravelines.

Vyanzo hariri

  • Paul Dräger (ed.), Alkuin, Vita sancti Willibrordi; Das Leben des heiligen Willibrord (Trier: Kliomedia, 2008).

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.