Alaotra-Mangoro
Alaotra-Mangoro ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 877,700. Mji mkuu ni Ambatondrazaka.
Alaotra-Mangoro |
|
Mahali pa Mkoa wa Alaotra-Mangoro katika Madagaska | |
Majiranukta: 17°50′S 48°25′E / 17.833°S 48.417°E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Ambatondrazaka |
Eneo | |
- Jumla | 31,948 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 877,700 |
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Alaotra-Mangoro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy |