Sofia (mkoa)

Sofia ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 940,800. Mji mkuu ni Antsohihy.

Sofia
Mahali pa Mkoa wa Sofia katika Madagaska
Mahali pa Mkoa wa Sofia katika Madagaska
Majiranukta: 14°52′S 47°59′E / 14.867°S 47.983°E / -14.867; 47.983
Nchi Madagaska
Wilaya 7
Mji mkuu Antsohihy
Eneo
 - Mkoa 50,100 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - 940.800

Picha za DianaEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sofia (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: 
Mikoa ya Madagaska
 
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy