Amoron'i Mania ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 693,200. Mji mkuu ni Ambositra.

Amoron'i Mania
Mahali paAmoron'i Mania
Mahali paAmoron'i Mania
Mahali pa Mkoa wa Amoron’i Mania katika Madagaska
Majiranukta: 20°06′S 46°24′E / 20.100°S 46.400°E / -20.100; 46.400
Nchi Madagaska
Wilaya 5
Mji mkuu Ambositra
Eneo
 - Jumla 16,141 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 693,200

Picha za Amoron’i Mania hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amoron'i Mania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons 
Mikoa ya Madagaska
 
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy