Vakinankaratra
Vakinankaratra ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,589,800. Mji mkuu ni Antsirabe.
Vakinankaratra |
|
Mahali pa Mkoa wa Vakinankaratra katika Madagaska | |
Majiranukta: 19°52′S 47°02′E / 19.867°S 47.033°E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Antsirabe |
Eneo | |
- Jumla | 16,599 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1.589.800 |
Picha za Vakinankaratra
hariri-
Belazao
-
Ziwa la Tritriva
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vakinankaratra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy |