Atsimo-Atsinanana
Atsimo-Atsinanana ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 621,200. Mji mkuu ni Farafangana.
Atsimo-Atsinanana |
|
Mahali pa Mkoa wa Atsimo-Atsinanana katika Madagaska | |
Majiranukta: 22°49′S 47°49′E / 22.817°S 47.817°E | |
Nchi | Madagaska |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Farafangana |
Eneo | |
- Jumla | 18,863 km² |
Idadi ya wakazi (2004) | |
- Wakazi kwa ujumla | 621,200 |
Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Atsimo-Atsinanana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy |