Analamanga ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,811,500. Mji mkuu ni Antananarivo.

Analamanga
Mahali paAnalamanga
Mahali paAnalamanga
Mahali pa Mkoa wa Analamanga katika Madagaska
Majiranukta: 18°56′S 47°31′E / 18.933°S 47.517°E / -18.933; 47.517
Nchi Madagaska
Wilaya 8
Mji mkuu Antananarivo
Eneo
 - Jumla 16,911 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 2.811.500

Picha za Analamanga hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Analamanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons



 
Mikoa ya Madagaska
 
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy