Alfonso wa Orozco, O.S.A. (Oropesa, Toledo, Hispania, 17 Oktoba 1500 - Madrid, Hispania, 19 Septemba 1591) alikuwa padri wa shirika la Waaugustino aliyepata umaarufu kwa mahubiri yake na kwa maisha ya kiroho hata akachaguliwa kuwa mhubiri rasmi wa ikulu ya mfalme, lakini akadumu kuwa na unyenyekevu na ugumu wa maisha[1].

Mtakatifu Alfonso.

Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri tarehe 15 Januari 1882, halafu Papa Yohane Paulo II akamtangaza mtakatifu tarehe 19 Mei 2002[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Domínguez Ortiz, Antonio (1992). Los judeoconversos en la España moderna (kwa Spanish) (tol. la 2. ed.). Madrid: Mapfre. ISBN 978-84-7100-353-9. {{cite book}}: |edition= has extra text (help); Invalid |ref=harv (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
  •   Smith, Ignatius (1913). "Bl. John of Avila". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
  • St. John of Ávila (1904). Letters of Blessed John of Avila. Stanbrook Abbey: Burns & Oates Ltd. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Wilke, J. C. (2003). "John of Avila, St.". In Catholic University of America. New Catholic Encyclopedia. 7 (Hol–Jub) (2d ed.). Washington, D.C.: Gale. pp. 446–449. ISBN 0-7876-4004-2
      .

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.