Amato wa Habend
Amato wa Habend (Grenoble, leo nchini Ufaransa, 565 hivi - 13 Septemba 628 hivi) alikuwa mmonaki padri aliyeanzisha monasteri mbili huko Hamend lakini, kabla na baada ya hapo, aliishi miaka kadhaa kwa toba kali upwekeni[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia Edit
Tanbihi Edit
Marejeo Edit
- (Kijerumani) Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |