Antili Kubwa
Antili Kubwa ni visiwa katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Antili Ndogo, Visiwa vya Turks na Caicos na Bahamas vinaunda visiwa vya Karibi.
Antili Kubwa ni hasa visiwa vinne vikubwa vifuatavyo pamoja na visiwa vingi vidogo.
- Kuba
- Hispaniola yenye nchi mbili za Haiti na Jamhuri ya Dominika
- Jamaika
- Puerto Rico
Orodha ya visiwa na funguvisiwa katika eneo la Antili Kubwa
hariri- Kuba (nchi)
- Jamaika (nchi)
- Pedro Cays (Jamaika)
- Visiwa vya Cayman (Uingereza)
- Navassa (Marekani)
- Hispaniola na visiwa jirani
- Hispaniola (Haiti na Jamhuri ya Dominika)
- Île de la Tortue (Haiti)
- Île de la Gonâve (Haiti)
- Île Grande Cayemite (Haiti)
- Île à Vache (Haiti)
- Cayos Siete Hermanos (Jamhuri ya Dominika)
- Isla Beata (Jamhuri ya Dominika)
- Isla Saona (Jamhuri ya Dominika)
- Fuunguvisiwa la Puerto Rico (nchi iliyojumuika na Marekani)
- Puerto Rico (Kisiwa)
- Mona na Monito
- Desecheo
- Caja de Muertos
Marejeo
hariri- Cohen, S.; Groene, J.; Werner, L.; Vladimir, U.; Williams, D.; Walter, C.; Hiller, H.L. (1997). Caribbean: The Greater Antilles, Bermuda, Bahamas. Explore the world Nelles guide. Nelles Verlag. ISBN 978-3-88618-403-3. 254 pages.
- University, J.R.P.B.S.S. (1995). Anolis Lizards of the Caribbean : Ecology, Evolution, and Plate Tectonics: Ecology, Evolution, and Plate Tectonics. Oxford Series in Ecology and Evolution. Oxford University Press, USA. uk. 88. ISBN 978-0-19-536191-9.
- Rogozinski, Jan. A Brief History of the Caribbean. New York: Facts on File, 1992.
Viungo vya nje
hariri- media kuhusu Antili Kubwa pa Wikimedia Commons
- Naturräume Ilihifadhiwa 28 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Tourismus-Infos Ilihifadhiwa 1 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
21°59′N 79°02′W / 21.983°N 79.033°W
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Antili Kubwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |