Arkanjelo Tadini
Arcangelo Tadini (Verolanuova, Brescia, 12 Oktoba 1846 - Botticino Sera, 20 Mei 1912) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 3 Oktoba 1999, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.
Maisha
haririBaada ya upadrisho alioupata mwaka 1870 alishughulikia matatizo na haki vya wafanyakazi, na hatimaye alianzisha shirika la Masista Wafanyakazi wa Nyumba Takatifu ya Nazareti ambao wawajibike kwa ajili ya haki katika jamii[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Official website of the Suore Operaie
- Basilica di Verolanuova page in honor of the Saint
- Hagiogragphy Circle
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |