Arsene Wenger

Mchezaji mpira na Kocha wa Ufaransa
(Elekezwa kutoka Arsène Wenger)

Arsène Wenger, OBE [1] (alizaliwa Strasbourg, Ufaransa, 22 Oktoba 1949) ni meneja ambaye ameweza kuongoza kilabu cha ligi ya Uingereza, yaani Arsenal F.C. tangu mwaka wa 1996 hadi 2018. Yeye ni meneja mwenye mafanikio zaidi katika historia ya Arsenal katika suala la nyara na pia ni meneja aliyedumu sana.

Arsene Wenger alikuwa kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal FC.
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa {{{tareheyakuzaliwa}}}
Mahala pa kuzaliwa    {{{nchialiozaliwa}}}

* Magoli alioshinda

Katika suala la urefu wa Uzimamizi, miaka kumi na tatu ya George Allison kuwa msimamizi wa Arsenal kati ya mwaka wa 1934 na mwaka wa 1947 ni zaidi ya miaka kumi na mbili nukta tano ya usimamizi wa Wenger( Machi 2009), lakini kipindi cha Allison ni pamoja na ukamilifu wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia,|miaka kumi na tatu ya George Allison kuwa msimamizi wa Arsenal kati ya mwaka wa 1934 na mwaka wa 1947 ni zaidi ya miaka kumi na mbili nukta tano ya usimamizi wa Wenger( Machi 2009), lakini kipindi cha Allison ni pamoja na ukamilifu wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia,]] ambapo hakuna mechi rasmi iliyochezwa na hivyo Wenger amesimamia mechi mingi.

Wenger ni meneja asiye wa Uingereza ambaye amewahi kushinda nyara mbili nchini Uingereza, baada ya kufanya hivyo mwaka 1998 na 2002. Mwaka 2004, alikuwa meneja wa pekee katika historia ya Ligi ya FA kwenda msimu mzima bila kushindwa. Wenger anatambulika sana kama mmoja wa mameneja bora duniani baada ya mafanikio alijipatia katika clabu cha AS Monako na Arsenal. Wenger ana shahada la Uhandizi katika nyancha ya Electroniki na bwana shahada ya Uchumi [2] kutoka Strasbourg University na anaelewa lugha ya Kifaransa, Kijerumani, Kihispania na Kiingereza; yeye pia anaongea baadhi ya Kiitaliano na Kijapani.[3]

Maisha na ubia

hariri

Yeye ni mtoto ya Alphonse na Louise, Arsène Wenger alizaliwa mjini Strasbourg na kukulia katika kijiji cha jirani cha Duttlenheim na dadake na nduguye wakubwa. Wazazi wake walimiliki biashara ya sehemu vipuri ya magari katika Strasbourg, vilevile na duka la Bistro katika Duttlenheim inayoitwa La Croix d'Or. Akizungumzia malezi yake La Croix d'Or, yeye alisema katika hotuba ya Ligi ya mameneja Association:

"There is no better psychological education than growing up in a pub... I learned about tactics and selection from the people talking about football in the pub - who plays on the left wing and who should be in the team."

Wenger on his childhood.[4]

Wenger ameoa aliyekuwa mchezaji zamani wa mpira wa kikapu Annie Brosterhous, ambaye ana binti mmoja, na sasa anaishi katika Totteridge, London.[5][6] Yeye pia ni balozi wa ulimwengu kwa ajili ya mdhamini wa FIFA World Cup, Castrol, na kama sehemu ya utaratibu wake amepeana mafunzo kadhaa makambini kwa timu ya vijana ya kimataifa duniani kote, na vilevile kupeana ushauri na kutoa maoni na utendekazi wa Castrol, hili ni mfumo rasmi wa FIFA wa kuwapima ufanisi wa timu na wachezaji katika mashindano mbalimbali.[7][8][9] Yeye pia amajapisha kitabu juu ya usimamizi wa soka kwa minajili ya soko laUjapani, Shōsha no Spirit (勝者のエスプリ Shōsha no Esupuri?, lit. The Spirit of Conquest in English and L'esprit conquérant in French) ilichapishwa na kampuni ya uchapishaji wa japan Broadcast (kampuni ndogo yaNHK) katika Septemba 1997, ambapo yeye alidhihirisha falsafa,maadili na ujuzi wake usimamizi na vilevile mawazo yake juu ya soka la Kijapani na mchezo kwa ujumla.[5][10]

Wasifu wa Mapema

hariri

Wenger alitumia kiasi kubwa cha ujana wake kucheza mpira na kupanga mechi katika timu za kijiji, FC Duttlenheim, ambako alipata kuchezea timu ya kwanza akiwa na umri wa 16 na hatimaye kuajiriwa na klabu cha daraja la tatu ya AS Mutzig na meneja wa timu Max Hild, ambaye alikuwa mshauri wake baadaye ,na kumshauri kuhusu usimamizi wa soka baadaye katika utaalamu wake,na ambaye timu yake ilijulikana kucheza soka safi ligi ndogo katika Ufaransa.[5] Wasifu wa Wenger kucheza ilikuwa hadimu. Yeye alicheza kama mlinzi katika vilabu ndogo mbalimbali wakati huo akisoma katika EUROPEEN Institut d'Etudes Commerciales Supérieures de Strasbourg wa Robert Schuman lade University, ambapo yeye kumaliza shahada mwaka 1971.

Wenger aligeuza utaaluma katika 1978, na kuchaza mechi yake ya kwanza dhidi ya Monako RC Strasbourg. Yeye alichezea timu yake mara kumi na mbili timu ikiwemo mechi mbili ambapo walishinda Ligi ya ufaranza katika mwaka wa 1978-79, na akacheza mara moja katika Kombe la UEFA katika msimu huo. Mwaka 1981, yeye alipata cheti cha stashahada na akatuliwa kuwa kocha wa timu ya vijana ya klabu.[11] Baada ya wakati wake katika timu ya Strasbourg, Wenger alijiunga na AS Cannes kama meneja msaidizi mwaka 1983.[12][13]

Wasifu wake wa usimamizi

hariri
 
Wenger akishukuru umati baada ya mchezo wa mwisho wa mwaka wa 2006-07 nyumbani msimu mnamo tarehe moja Mei mwaka wa 2007.

Kazi yake ya kwanza katika usimamisi ilikuwa katika klabu cha Nancy, ambapo alijiunga mwaka wa 1984, lakini alipata mafanikio kidogo hapa: katika wake mwaka wake wa tatu na msimu wake wa mwisho , Nancy ilimaliza katika nafazi ya kumi na tisa na walizushwa daraja hadi ligi ya pili ya ufaranza (sasa Ligue 2). Wasifu wake wa usimamizi ilipanda ipokuwa meneja wa AS Monako mwaka wa 1987. Yeye alishinda ligi mwaka wa 1988 (msimu wake wa kwanza ) na Kombe la Kifaransa mwaka wa 1991, na kuwasajili wachezaji shupafu kama Glenn Hoddle, George Weah na Hermann Klinsmann. Yeye pia alisajili Youri Djorkaeff akiwa na umri ishirini na tatu kutoka klabu cha Strasbourg; ambaye alishinda Kombe la dunia, Youri alikuwa mfugaji wa mabao katika Ligi ya Ufaranza (mabao ishirini), katika mwaka wa mshisho kwa Wenger kuwa menaja katika Ufaransa. Wenger aliorodeshwa kuwa mojawapo wa menaja wa kusimamia saa Bayern Munich, lakini hakuweza kuchukua kazi kutokana na bodi la Monako kukataa kuruhusu Bayern Munich kuzungumza na Wenger, ingawaje walimwachilia Wenger wiki chache baadaye kazi hiyo kuwa imechukuliwa na mtu mwingine.[14]

Alihamia kwenye ligi ya Japani kufunza timu ya Nagoya Grampus nane kwa muda wa miezi kumi na tisa ambapo alipata mafanikio kubwa. Alishinda Kombe la Mfalme kikombe cha kitaifa. Yeye pia aliongoza klabu kutoka chini ya msimamo ya ligi hadi nafasi ya pili [15] Mafanikio yake katika klabu yake ilimwezesha kushinda [[meneja wa ligi wa mwaka {/0 katika wa mwaka 1995, meneja wa kwanza wa kigeni kufanya hivyo. {1/}]] Akiwa Grampus, yeye aliajiriwa meneja wa zamani wa Valenciennes, Boro Primorac, kama msaidizi wake, ambaye walikutana mwaka wa 1993 wakati wa kashfa la upangaji mechi iliyoshirikisha timu ya Olympique de Marseille, Wenger, alikuwa na maoni kwamba timu ya Marseille ilivunja sheria,aliunga mkono kikamilifu kocha huyo wa Yugoslavia alipo jaribu (hatimaye pamoja na mafanikio) kujitoa lawamani. Primorac alibakia kuwa rafiki Wenger kwa miaka ijayo, na bado anashikilia wadhifa huo.[16]

Wakati huohuo Wenger alikuwa ameanza urafiki na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa Arsenal David Dein, baada ya wao wawili kukutana wakati Wenger alikuwa amahudhuria mechi kati ya Arsenal na Queens Park Rangers mwaka wa 1988.[17] Baada ya Bruce Rioch kuachishwa kazi mna mwezi nane mwaka 1996, Gérard Houllier,aliyekuwa mkurugenzi wa kiufundi wa Shirikisho la Soka la Kifaransa, ilipendekeza Wenger kwa Daudi Dein katika majira ya joto ya 1996.[18] Arsenal ilithibitisha kuteuliwa kwake rasmi tarehe 28 Septemba 1996, na yeye rasmi kuchukua ushukani tarehe 1 Oktoba. Arsenal Wenger alikuwa meneja wa kwanza kutoka nje ya Uingereza. Ingawa hapo awali alikuwa amesemekana kuwapewa kazi kama mkurugenzi wa kiufundi la shirikisho la kadanda, wakati Wenger alikuwa anajulikana kwa nadrwa katika Uingereza, ambako gazeti la Evening Standard iliandika uteuzi wake na habari kuu 'Arsene nani?'.[19]

Mwezi mmoja kabla ya Wenger kuchukua rasmi hatimu ya timu ya Arsenal, Wenger aliomba klabu iwasajili viungo vya kati wa Kifaransa Patrick Vieira na Rémi Garde. Mechi yake ya kwanza ilikuwa ushindi wa mabao mawili dhidi ya Blackburn Rovers tarehe kumi na mbili Oktoba 1996. Arsenal ilimaliza ya tatu katika msimamo ligi katika msimu wake wa kwanza, na kukosa nafasi ya pili (iliyoshikiliwa na Newcastle United), na hivyo kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa, kwa wingi wa mabao.

Katika msimu wake wa pili (1997-98), Arsenal ilishinda mataji mawili ikiwemo Ligi Kuu na Kombe la FA,na kuifanya kuwa mara ya pili katika historia ya klabu kushinda mataji mawili kwa msimu mmoja. Arsenal ilikata uongozi wa poiti kumi na mawili kutoka klabu cha Manchester United na kushinda taji la ligi ilifanikiwa kushinda ligi kama mechi mbili ilikuwa imesalia. Ngumo ya mafanikio hayo ilikuwa kurithi ulinzi wa Tony Adams, Steve Bould, Nigel Winterburn, Lee Dixon na Martin Keown, pamoja na mshambuliaji Dennis Bergkamp na kuelewana wazajili wapya, Emmanuel Petit kama mcheza mke wa Patrick Vieira, na mshabulizi wa kazi Marc Overmars, na vijana mshambuliaji Nicolas Anelka.

Misimu michache zilizofuata zilikuwa tasa, wakikaribia kushinda kikombe. Katika msimu wa 1998-99, wao walipoteza taji la ligi kwa Manchester United na pointi moja siku ya mwisho ya msimu, na Manchester pia ikaondoa Arsenal katika muda wa ziada katika nusu-finali ya kikombe cha FA Cup. Msimu wa 1999-2000, Arsenal ilipoteza fainali ya Kombe la UEFA kwa timu ya Galatasaray kwa penalti na 2001 Finali ya kombe la FA kwa Liverpool 2-1. Wenger alitatua kuleta wachezaji mpya wa kikosi, pamoja usajili wa utata wa mlinzi Tottenham (aliyekuwa amemaliza mmkataba)na nahodha wa zamani Sol Campbell vilevile wachezaji wa timu ya kwanza kama Fredrik Ljungberg, Thierry Henry na Robert Pires.

Wasajili wapya ilisaidia timu ya Wenger kushinda mataji mawili mara moja katika msimu wa 2001-02. Mechi iliyosisimua sana ilikuwa mechi ya pili kutoka mwisho dhidi ya Manchester United. Arsenal ilishinda 1-0 katika mchezo ambao Arsenal ilionekana kizidi Manchester United. Arsenal alienda msimu mzima unbeaten mbali kutoka nyumbani na kila moja alifunga katika mchezo wa Ligi Kuu kwamba msimu, na kumaliza Double kwa kumpiga Chelsea 2-0 katika fainali ya Kombe la FA na malengo kutoka Ray Parlour na Fredrik Ljungberg.

Baada ya kuanza msimu wa 2002-03 kwa nguvu, Arsenal ilionekana kama ingehifadhi taji la ligi kwa mara ya kwanza katika historia yao. Arsenal walikuwa wanaongoza Manchester United (ambao walishinda) kwa point nane wakati mmoja, lakini kucheza kwao ilididimia msimu ikikienda kuisha. Manchester United ilipita Arsenal katika hatua ya mwisho ya msimu na kushinda taji, Arsenal ilitupa ouuongozi wa mabao mwaili dhidi ya Bolton Wanderers na kutoka sare ya mabao mawili na kisha kupoteza wakiwa nyumbani kwa Leeds United.

Arsenal walifanikiwa kushinda kombe la FA mwaka wa 2003, na msimu iliyofuata, waliandika historia kwa kushinda Ligi ya 2003-04 bila ya kupoteza mechi yeyote ,timu ya daraja la kwanza kuandikisha historia tangu 0}timu Preston North End mwaka wa 1888 -89 kufanya hivyo, hili ni historia ambayo timu ya AC Milan na Ajax walikuwa wamewaza kuandikisha katika ligi za kubwa za Ulaya. Mwaka mmoja awali, Wenger alikuwa ameskika akisema kuwa ingeweza Arsenal kucheza msimu mzima bila kushindwa.[20]

Mechi ya Arsenal kutoshindwa kwa mechi arobaini na tisa ilifikia kikomo pale waliposhindwa na Manchester United kwa mabao mawili kwa nunge mnamo Oktoba 2004. Arsenal walikuwa na ushindi mwingine wa muda katika kampen ligi ya, lakini walishinddwa kutetea ligi na Chelsea. Faraja tena ilikuja katika Kombe la FA mwaka wa 2005, ambapo Arsenal ilishinda Manchester United kwa penalti baada ya kutoka sare ya nunge kwenye fainali.

 
Wafuasi wa Arsenal wanaonyesha kadi iliyoandikwa "KWA ARSENE TUNA IMANI" Mei 2009

Arsenal walikuwa na misimu miwili katika 2005-06 na 2006-07 ya kutoshinda taji lolote, ambapo walimaliza katika nafasi ya nne katika hafla zote mbili. Arsenal wakiwa katika fomu mzuri walitishia kuchukua Ligi Kuu na dhoruba katika [msimu wa 2007-08, walioongoza ligi kwa muda mrefu katika msimu huo, lakini walishindwa na Chelsea na Manchester United, baada ya mguu wa mshabuliaji wao Eduardo kuvunjwa ikatatanisha kikosi changa cha Arsenal kwa wiki chache.

Kwa jumla, Arsenal imeshinda Ligi mara tatu na vikombe vya FA manne chini ya uongozi wa Wenger, hili linamfanya kuwa meneja mwenye mafanikio kubwa zaidi katika masuala ya nyara. Nyara ya vilabu mabingwa ndilo taji peke yake ambalo Wenger hajashinda,hata hivyo, Arsenal ilikaribia kushinda walikapo fika finali katika msimu wa 2005-06, kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu, ambapo walipoteza kwa mabao mawili kwa moja dhidi ya timu ya Barcelona.

Mnamo Oktoba 2004, yeye alitia saini mkataba wa kuongoza kandarasi yake ambayo ingeweka ugani Emireti kupita msimu wa 2007-08 /0} [21] Aliyekuwa makamu mwenyekiti Arsenal wakati huo David Dein alisema kuwa Wenger ana kazi ya arsenal " kwa maisha" , na alipangia kumpatia Wenger jukumu kazi ya mwanabodi wa klabu mara tu atakopo Arsenal retires mara moja yeye kama meneja. Maisha ya baadaye ya Wenge rkatika Arsenal ilikuwa na maswahili chungu baada ya Daudi Dein kutoka bodi la Arsenal tarehe 18 Aprili 2007, na uvumi kuvuma kwamba Wenger atawacha kazi yake ili awe meneja wa Real Madrid. Hata hivyo, mnamo tarehe 6 Septemba 2007, Wenger ilikubali kandarasi mpya ya miaka mitatu katika Arsenal.[22]

Mkabala na falsafa

hariri
 
Wenger mwaka 2008.

Wenger ameelezewa kama kocha ambaye "imetumia wasifu yake kujenga timu kushinda mataji na wakati huo kkuwa hamu ya kufurahisha na kushambulia",[23] na kama mwandilishi,anashughulika sana wakfu kwa mtu binafsi na ya kiufundi wa umoja ".[24] Gazeti ya Times inabainisha kuwa tangu 2003-04 mkabala na mchezo wa Wenger imekuwa msisitizo ya ushambuliaji.[25] Mtindo wake wa kucheza imekuwa kinyume na mkabala wa wapinzani wake,[26] lakini pia imekosolewa kwa kwa kukosa nguzo wa kuua".[27] Ingawa Wenger kwa miaka kadhaa alichezesha kikosi chake na mfumo wa 4-4-2, tangu mwaka 2005 amekuwa mara nyingi akitegemea mfumo 4-5-1 na mshambuliaji mmoja na kiungo iliyojaa wachezaji,[28] hasa tangu kuhama uwanja pana wa Emirati ,[29] na katika ligi ya mabingwa.[30] Mwanzo kwa msimu wa 2009-10, Wenger ameanza mfumo mpya ya 4-3-3 , ikiwa na washambuliaji watano wanaobadilishana nafasikwa hiari wakati wa mechi.[31]

Wenger ana sifa kubwa ya kutafuta talanta ya vijana wachanga. Wakati wake akiwa Monako alimleta mrai wa Liberia, George Weah, ambaye baadaye akashinda tuzo la shirikisho la kandanda dunianiya mchezaji mzuri wa mwaka wakati huo akichezea AC Milan, Tonnerre Yaoundé kutoka timu y Kamerunna rai wa Nigeria Victor Ikpeba, ambaye baadaye akawa mchezaji bora wa Afrika wa Mwaka kutoka klabu cha RFC de Liege. Wakati akiwa Arsenal, Wenger amesajili vijana, ambao hawakuwa wakijulikani kama vile Patrick Vieira, Francesc Fabregas, Robin Van Persie na Kolo Toure, na kuwasaidia kuwa kuwa wachezaji wa duniani. Imeonekana, utetezi ambao iliweka rekodi mpya baada ya kucheza mechi kumi mfululizo bila kufungwa bao lolote wakiwa njiana kufika fainali yakombe la Uefa dhidi ya Barcelonamsimu wa 2005-06 iligharimau Arsenal chini ya pouni tano za uingereza kukusanyika.

Ingawa Wenger amefanya baadhi ya uzajili ya wachezaji wenye pesa mingi kwa Arsenal, rekodi ya matumizi yake ni nadra zaidi kuliko timu nyingine inayoongoza Ligi. Utafiti wa mwaka wa 2007,ilipata kuwa alikuwa meneja wa pekee kwenye Ligi eamefanya faida kwa uhamisho wa wachezaji,[32] na kati ya mwaka wa 2004 na mwaka wa 2009 Wenger alifanya faida wastani ya pauni dola million nne nukta nne kwamsimu kutokana na uhamisho, mbali zaidi kuliko vilabu vingine vyovyote.[33] Mfano mzuri ni ya ununuzi wa Nicolas Anelka kutoka Paris St Germain kwa pauni elfu mia tano tuna baadaye kuuzwa pauni millioni ishirini na mbili kwa Real Madridbaada ya miaka miwili tu. Hiyo ilimwezesha Wenger kununua wachezaji watatu, wakiwemo Thierry Henry, Robert Pires na Sylvain Wiltord, ambao wote walicheza nafasi muhimu katika kushinda mataji mawili katika msimu wa 2001-02 na kushinda ligi katika msimu wa 2003-04.

Vilevile kwa kukuza vipaji kwa klabu, Wenger pia ameonekana kufufua wasifu ya wachezaji wakongwe akiwa Arsenal. Dennis Bergkamp, ambaye alikuwa amesajiliwa na Arsenal mwaka mmoja kabla Wenger kijiunga na Arsenal, alifikia upeo wake chini ya uonngozi wa Wenger. Wenger pia alisaidia mwanafunzi wake wa awali akiwa Monako, Thierry Henry, kuwa mchezaji wa hadiri ya dunia na kumwona akiwa nahodha na mfungaji bora wa boa kwa historia ya Arsenal.

Wenger pia aligeuza mfumo wa kufanya mazoezi na kukula,kwa kutoa unywaji pombe na ukulaji wa chakula yenye mafuta mingi. Wenger alisimama na nahodha Tony Adams baada ya Adams kukubali kuwa ulevi mwaka wa 1996. Wenger alisaidia Adams wakati wa ukarabati wake, na mchezaji huyo akarejea fomu mzuri na akamwongezea wasifu yake kwa miaka kadhaa. Mafunzo ya Wenger na sheria ya malazi na chakula huenda pia ilichangia kurefusha wasifu wa wanabegi wa Arsenal kwa muda mrefu, wanabegi Nigel Winterburn, Lee Dixon na Martin Keown. Wenger awali alikuwa kupanga kuwasajili wachezaji wengine kuchukua nafasi yao, lakini baadaye alitambua kwamba hakuwa na haja ya kufanya hivyo.

Wenger alikuwa na mchango wa moja kwa moja kwa muundo wa ndani wa uwanja mpya ya Emirates, ambao ulifunguliwa mwaka wa 2006, na uhamisho kwa uwanja mpya ya mafunzo ya London Colney.

Plaudits na tuzo

hariri
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Wenger anafurahia pendo kubwa kutoka kwa mashabiki wa Arsenal, ambao wameonyesha imani kubwa na meneja wake wa muda mrefu wa maono yake ya muda ijaayo. Display banners wafuasi mara kwa mara wakidai "Arsène anajua" na "Katika sisi Arsène matumaini" katika matches at Emirates Stadium. Wakati Arsenal msururo wa ushindikatika kampeni wakiwa Highbury mwaka wa 2005-06, wafuasi walionyesha kuridhishwa kwao na kuamua kuwa " Siku ya Wenger" katika mojawebo ya sikuza mechi kali. Siku ya Wenger wulifanyika siku yake ya kuzaliwa akiadhimisha miaka hamsini na sita ya kuzaliwa mnamo tarehe ishirini na mbilimwezi wa Oktoba 2005, wakati wa mechi dhidi ya Manchester City. [34]

Aliyekuwa makamu mwenyekiti wa Arsenal, David Dein, alieleza Wenger kama meneja muhimu katika historia ya klabu: "Arsene kama mfanyakazi wa maajabu. Yeye alibadilisha klabu. Aligeuza wachezaji kuwa wa kiwango cha duniani. Tangu awe hapa, tumeona mpira kutoka sayari nyingine".[35] Katika Tarehe 18 mwezi wa Oktoba 2007, kinyago cha shaba, sawa toleo la awali la Herbert Chapman, ilizindua kwake, na bodi ya wakurugenzi wa Arsenal, katika Mkutano Mkuu wa mwaka.[36]

Wenger ilipewa zanaa mzuri ya kifaranza ya Légion d'Honneur mwaka wa 2002. Yeye ilipewa tuzo la OBE kwa huduma yake kwa soka ya Uingereza katika siku ya tuzo za kuzaliwa Malkia ya mwaka wa 2003, pamoja na mfaranza mwenzake ambaye alikuwa meneja wa Liverpool Gérard Houllier. Mwaka wa 2006, Wenger aliingiza ndani ya makwiji wa soka la Uingereza kama utambuzi mafanikio yake kama meneja katika Uiingereza. Yeye alikuwa meneja wa pili wa kigeni kuingishwa kwa orodha ya makwiji haoe, baada ya Mwitalia Dario Gradi wa timu ya Crewe Alexandra.

Mwaka wa 2007, alipata nyota moja KUpewa jina la 33179 Arsène Wenger, [37] na mwanaastronomia Ian P. Griffin, ambaye anasema kilabu cha Arsenal anakipenda sana.[38]

Sakata

hariri
 
Wenger imekuwa katika kesi za utatanishi

Timu za Wenger imeshtumiwa kukoza nidhamu, walipa kadi nyekundu sabini na tatu kati ya mwaka wa 1996 na 2008.[39] Hata hivyo, katika wawili mwaka 2004 na 2005 timu ya Wenger ilishinda zawadi ya timu iliyo na nidhamu na tabia mzuri katika ligi ya Uingereza [40][41] na karibu wajishidie zawadi hilo tena mwaka wa 2006.walimaliza katika nafasi ya pili.[42] Rekodi yao kama mojawebo ya vilabu vya michezo yenye nidhamu iliendelea hadi 2009 baada ya klabu kuwa katika nafasi nne za kwanza kwa kuwania zawadi hilo.[43][44]

Mwaka wa 1999, Wenger alipatia klabu ya Sheffield United mechi ya marudiano katika shindano la FA baada ya sintofahamu kuhuzu ushindi wa Arsenal. Bao la ushindi la Arsenal iliyofungwa na Marc Overmars, ilitokana na mshambuliaji Kanu kushindwa kurudisha mpira kwa upinzani baada ya mpira kutolewa nje ili mchezaji wa Sheffield United kupata matibabu kwa ajili ya kuumia. Arsenal alishinda mechi ya marudio kwa mabao mawili kwa moja.

Yeye anajukika vizuri sana kutika na ushindani na menaja wa Manchester United, Sir Alex Ferguson. Ushindani huu ulifikia kilele katika tukio la "Pizzagate" [45][46] huko OLD TRAFFORD katika Oktoba mwaka wa 2004 baada ya mkwaju wa adhabu la utata ulipelekea kushindwa kwa mabao mawili kwa nunge,hivyo kufanya ushindi wa Arsenal wa mechi arobaini na tisa bila kushindwa kufikia kikomo. Baada ya mechi mwanachama wa Arsenal alidaiwa kurushia chakula upinzani katika mwingilio wa chumba cha mapumziko.[47] Wenger alipigwa faini ya dollar elfu kumi na tano kwa ajili ya kumwita mshambulizi wa Manchester Ruud van Nistelrooy kama mdanganyifu katika mahojiano na wandishi wa habari baada ya mechi. Yeye pia alipigwa faini nyingine baadaye kwa wito wake wa kumwita van Nistelrooy mdanganyanyifu, kuonyesha kwamba yeye aliamini yake.[48] Mameneja wote sasa wamekubali kupunguza la toni maneno yao ushindani wao itulie.[49]

Katika mwezi wa Oktoba na Novemba mwaka 2005, Wenger alijiingiza katika cheche la maneno na aliyekuwa meneja wa Chelsea José Mourinho. Mourinho alimstumu Wenger kuwa hana anapenda Chelsea kinyume na maadili ya kazi, akiwita Wenger kama panya na mtu anayependa maswala ya watu wengine [50] Mourinho alinukuliwa akisema, "Yeye's ana wasiwasi kuhusu sisi, yeye daima anazungumza kuhusu sisi - ni Chelsea, Chelsea, Chelsea, Chelsea". Wenger alijitetea kuwa alikuwa anajibu waandishi wa habari kuhusu maswali juu ya Chelsea, na akaelezea mtizamo wa Mourinho kama "isiyo na nidhamu". Mourinho tangu imenukuliwa akisema kuwa yeye anajutia kusema neno hilo "voyeur" , na Wenger amakubali msamaha wake.[51]

Wenger mara nyingi imekuwa akikosolewa na meneja wengine wa wa Ligi kuwa amekosa kuchezesha wachezaji kutoka uingereza , hasa katika Ligi ya Mabingwa. Aliyekuwa meneja wa West Ham United, Alan Pardew alisema kuwa mafanikio ya Arsenal katika Ligi ya mabingwa si lazima kuwa ushindi kwa soka ya Uingereza".[52] Wenger aliona suala la utaifa kama lisilo na msingi wowote na akasema, "Wakati wewe unawakilisha klabu, ni kuhusu maadili na sifa, si kuhusu paspoti", pia inaonyesha kuwa kulikuwa na kile kipengele cha kirangi alivyosema Pardew. Katika kukabiliana, Pardew alisema kuwa, "Meneja ambaye ameowa mswidi na amawazajili wachezaji kutoka duniani kote huwezi kuitwa mpaguzi wa rangi." [53] Wajambuzi wengine, pamoja Trevor Brooking, mkurugenzi wa mpira wa maendeleo katika shirikisho la kandanda, alitetea Wenger. Brooking alibainisha kuwa ukosefu wa wachezaji kutoka Uingereza katika mojawebo ya vilabu yenye mafanikio zaidi katika Uingereza ilikuwa tafakari ya kutokuwepo na talanta nchini Uingereza kuliko Wenger mwenyewe.[54] Wachezaji kadhaa wa Uingereza walianzia wasifu wao Arsenal chini ya usimamizi wa Wenger, wakiwemo David Bentley, Steve Sidwell, Jermaine Pennant, Mathayo Upson na Ashley Cole na vijana wa Uingereza wenye vipaji kama vile Theo Walcott, Kieran Gibbs na Jack Wilshere na sasa wanajenga wasifu wao katika Arsenal.

Baadhi ya wachezaji vijana wa Uingereza hata hivyo waliona kwamba ingekuwa mzuri kuhama mahali pengine kupata fursa zaidi timu ya kwanza. Wachezaji kama Mathayo Upson, Steve Sidwell, na David Bentley walikuwa wataalamu wenyewe, lakini walishindwa kupata nafasi ya kawaida kwa Arsenal. Mnamo Novemba mwaka wa 2007, Sir Alex Ferguson pia alikosoa Wenger kwa kutowachezesha wachezaji wengi wa Kiingereza.[55]

Wenger maneno yenye utata baada ya taarifa juu ya maamuzi ya marefari baada ya maamuzi kuenda kwa wapinzani wake.[56] Kufuatia finali ya Carling mwishoni mwa mwaka wa 2007, yeye alimwita mzaidizi wa refa kama 'mwongo', kupelekea uchunguzi na shirikisho la kandanda,[57] na kupewa faini ya dollar elfu mbili mia tano, na onyo.[58] Wenger kwa mara nyingi amejaribu kutetea wachezaji wake wakati wamehusika katika matukio utata uwanjani kwa kusema kwamba hakuona tukio hilo; hili ni chaguo Wenger anasema anapendelea kwa wakati hakuna " maelezo kamilifu" ili kujitetea, na kwamba yeye ina maslahi ya mchezaji bora katika akili yake. {0

Takwimu

hariri

Wachezaji

hariri
Club performance Ligi Kombe League CupContinental Total
SeasonClubLeague AppsGoalsAppsGoals AppsGoals AppsGoals AppsGoals
France LeagueCoupe de France Coupe de la Ligue Ulaya Total -- 1978-79 Strasbourg Daraja la kwanza | 0 | | | | | | | | | | 1 | | 0 | | | | -- 1979-80 | 0 | | | | | | | | - | -- 1980-81 | 0 | | | | | | | | | | colspan = "2 "|- |
Total France | 0 | | | | | | | | | | 1 | | 0 | | | |
Career Total | 0 | | | | | | | | | | 1 | | 0 | | | |

[59]

Msimamizi

hariri
Timu Nat From Kwa Record
G W D L Kushinda%
Nancy   1984 1987 ((WDL | 114 | 33 | 30 | 51))
AS Monako   1987 1995 ( (WDL | 266 | 130 | 53 | 83))
Nagoya Grampus Nane Kigezo:Country data Ujapani 1995 1996 ((WDL | 56 | 38 | 0 * | 18))
Arsenal   30 Septemba 1996 Present((WDL | 755 | 435 | 187 | 133)) Total &0000000000001191.0000001,191 &0000000000000636.000000636 &0000000000000270.000000270 &0000000000000285.000000285 &0000000000000053.40000053.40
As of 29 Novemba 2009[60]

* Wakati wa Wenger's umiliki huko, katika Ujapani's J-League katika tukio la scores kuwa ngazi mwishoni wa dakika 90, viberiti itakuwa waliamua kwa muda wa ziada na adhabu.

Player

hariri

Strasbourg

hariri

Msimamizi

hariri

Monako

hariri
Mshindi
Nafasi ya pili

Nagoya Grampus

hariri
Mshindi
Nafasi ya pili

Arsenal

hariri
Mshindi
Nafasi ya pili

Binafsi

hariri

Marejeo

hariri
 1. "2003 Queen's birthday honours announced". 
 2. "A few things you may not know about Arsène Wenger". Football365.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 3. "Amy Lawrence Q&A on Arsène Wenger". bbc.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-02-19. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 4. Hytner, David (25 Septemba 2009). "I owe everything to growing up above a pub, says Arsène Wenger". The Guardian. Iliwekwa mnamo 2009-09-28.
 5. 5.0 5.1 5.2 Jasper Rees. "Inside the mind of Arsene Wenger (excerpt from Wenger: The Making of a Legend by Jasper Rees)", The Guardian, 18 Agosti 2003. 
 6. Amy Lawrence. "French lessons", The Observer, 1 Oktoba 2006. 
 7. "Arsène Wenger signs for Castrol". Castrol India. 2009-03-25. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-30. Iliwekwa mnamo 2009-08-31.
 8. "Educate coaches and young players – Arsene Wenger". The Malaysian Insider. 2008-06-09. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-17. Iliwekwa mnamo 2009-08-31.
 9. "An interview with Arsene Wenger". FC Business. Iliwekwa mnamo 2009-08-31.
 10. "Amazon.co.jp: 勝者のエスプリ: アーセン ベンゲル, Ars`ene Wenger: 本". Amazon Japan. Iliwekwa mnamo 2009-09-02.
 11. "Profile: Arsene Wenger", BBC News, 12 Juni 2003. Retrieved on 24 Februari 2008. 
 12. Jason Cowley (2006-05-14). "The French revolutionary". The Observer. Iliwekwa mnamo 2009-09-02.
 13. "Arsene Wenger". ESPN Soccernet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-30. Iliwekwa mnamo 2009-09-02.
 14. Biographia ya Arsene Wenger ilioandikwa na Xavier Rivoire
 15. "ESPNsoccernet: Arsene Wenger". ESPNsoccernet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-27. Iliwekwa mnamo 2006-12-26.
 16. "The Independent - miaka kumi Wenger: jinsi yeye walipanga mapinduzi ya Kifaransa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-14. Iliwekwa mnamo 2009-12-07. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
 17. "Ten Years of Wenger: a week of celebration". Arsenal.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2006-10-09.
 18. "Regrets? I've had more than a few, says title-chasing Wenger", Times Online. Retrieved on 2006-10-23. 
 19. "Press at a glance: Tuesday 7 December 1998". ANR. Iliwekwa mnamo 2006-10-09.
 20. Dondoo ya Wenger's halisi ni: "inawezekana". Najua itakuwa vigumu kwa sisi kucheza msimu yote bila kushindwa. Lakini kama sisi tutashikilia mtazamo sahihi ni inawezekana kufanya hivyo. " From: Lipton, Martin. "We Won't Lose One Match", The Mirror, 21 Septemba 2002, pp. 78–79. 
 21. "Wenger signs new Arsenal contract", BBC. Retrieved on 27 Oktoba 2004. 
 22. "Wenger agrees new deal at Arsenal", BBC Sport. Mkataba inadhaniwa kuwa thamani ya pouni milioni nne kila mwaka.
 23. Whyatt, Chris. "Wenger sticks to his guns", BBC Sport, 9 Aprili 2008. 
 24. Watt, Tom. "Arsene Wenger has made some mistakes but he's still the best Arsenal have ever had", Daily Mail, 17 Aprili 2008. 
 25. Finkelstein, Daniel. "Efficiency drive in defence and attack is proving Arsene Wenger right", The Times, 27 Novemba 2007. "For the past four years, our model shows Arsenal as an attacking team – at no point has their defence ranking been above their ranking for attack." 
 26. Syed, Matthew. "Why Arsene Wenger should be proud rather than cowed", The Times, 10 Aprili 2008. "Arsène Wenger could have instructed his team to play with the dispiriting pragmatism so beloved of his rival managers, but the mercurial Frenchman was not prepared to betray his nobler ideals, even when it might have improved his club’s chances of success." 
 27. Powell, Jeff. "Make this your final year, Joe", Daily Mail, 13 Aprili 2008. "Imaginative play to delight connoisseurs but lack of a killer touch leaving them vulnerable to more relentless opponents." 
 28. "What is Arsenal's optimal tactical strategy?". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-25. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 29. "Evolution of the Arsenal Playing Style". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-01. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 30. "Adebayor might not remain a lone Gunner". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-06-06. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 31. } "Why don't more teams trust false nines?". {{cite web}}: Check |url= value (help)
 32. "Wenger wengi 'pesa busara' meneja". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-22. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 33. "Transfer League". Transfer League. 2008-06-11. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 34. "It's Wenger Day at Highbury!". Arsenal.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-14. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 35. "Arsenal sign Wenger with expert timing". Daily Telegraph. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-15. Iliwekwa mnamo 2021-07-13.
 36. "Arsenal commission bust of Arsène Wenger". Arsenal.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-06. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 37. Alan Chamberlin. "JPL Small-Body Database Browser". Ssd.jpl.nasa.gov. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 38. "Arsenewenger". Web.mac.com. 2007-11-21. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-20. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 39. "Wenger has no back-up plan". Irish Examiner. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-30. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 40. "Fair Play to Gunners". The Football Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-27. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 41. "Fair Play to Arsenal could see Spurs in Europe". BreakingNews.ie. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-06. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 42. "Barclays Premiership 2005/06 Fair Play League" (PDF). Premierleague.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2006-09-23. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 43. "MON On Fair Play | Latest News | Latest News | News | Aston Villa". Avfc.co.uk. 2009-10-27. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 44. "What the 2008/09 Premier League Fair Play table tells us » Who Ate all the Pies". Whoateallthepies.tv. 2009-06-05. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 45. "Pizzagate: a slice of strife", Guardian, 15 Septemba 2006. Retrieved on 18 Februari 2009. 
 46. Bose, Mihir. "Untold story of 'Pizzagate'", Daily Telegraph, 8 Desemba 2004. Retrieved on 18 Februari 2009. Archived from the original on 2008-12-12. 
 47. "Wenger: I didn't see tunnel fracas". Football365. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-27. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 48. "Wenger fined over Ruud outburst", BBC Sport. 
 49. "Wenger and Ferguson to end feud", BBC Sport. 
 50. "Mourinho labels Wenger a 'voyeur'", BBC Sport. 
 51. "Mourinho regrets 'voyeur' comment", BBC Sport. 
 52. "This was no English victory says Taylor". The Guardian.
 53. Mick Collins (2006-12-31). "Wenger and Pardew face an early rematch". The Telegraph. Iliwekwa mnamo 2009-08-14. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
 54. "English kids are technically inferior, claims Brooking". Soccernet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-06. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.
 55. "Ferguson supports Fifa quota plan", BBC Website. 
 56. "FA quizzes Wenger about comments", BBC Sport. 
 57. "Wenger out of order, says ex-ref", BBC Website. 
 58. "Wenger given fine & warning by FA", BBC Website. 
 59. "Arsène WENGER - Racing Club de Strasbourg - racingstub.com". racingstub.com. 1949-10-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-22. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 60. "Arsene Wenger's managerial career". Racing Post. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-30. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2009.
 61. "Wenger secures LMA award", BBC Sport, 18 Mei 2004. Retrieved on 28 Mei 2009. 
 62. "Arsène Wenger | Coaching Staff | First Team". Arsenal.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-18. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 63. "Football Writers' Association: Latest News :: Arsene Wenger Tribute". Footballwriters.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-25. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
 64. "Arsene Wenger OBE – Honours". League Managers Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-14. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2009.
 65. "Sheringham wins monthly award", BBC Sport, 10 Novemba 2000. Retrieved on 28 Mei 2009. 
 66. "Arsenal duo win awards", BBC Sport, 10 Mei 2002. Retrieved on 29 Mei 2009. 
 67. "Arsenal duo bag awards", BBC Sport, 4 Oktoba 2002. Retrieved on 29 Mei 2009. 
 68. "Wenger wins award", BBC Sport, 12 Septemba 2003. Retrieved on 28 Mei 2009. 
 69. "Arsenal scoop awards double", BBC Sport, 12 Machi 2004. Retrieved on 29 Mei 2009. 
 70. "Arsenal claim double award", BBC Sport, 10 Septemba 2004. Retrieved on 29 Mei 2009. 
 71. "Arsenal pair scoop monthly awards". BBC Sport. 19 Oktoba 2007. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2009.
 72. "Wenger and Santa Cruz scoop awards". Barclays Premier League. 11 Jan 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-26. Iliwekwa mnamo 28 Mei 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: