Bartolomeo Kijana

Mtakatifu wa Kiitalia

Bartolomeo Kijana (Rossano Calabro, mkoa wa Calabria, Italia, 981Grottaferrata, karibu na Roma, 1055) alikuwa abati wa monasteri ya Ukristo wa Mashariki aliyoianzisha pamoja na mwalimu wake, Nilo wa Rossano[1].

Sanamu yake huko Grottaferrata.

Kati ya maandishi yake, muhimu zaidi ni kitabu cha maisha ya mwalimu wake huyo.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.