Basili wa Ankara

Basili wa Ankara (alifariki Ankara, Galatia, nchini Uturuki, 28/29 Juni, 362 hivi) alikuwa padri wa Dola la Roma aliyefia imani yake wakati wa kaisari Juliani Mwasi[1].

Mt. Basili wa Ankara.

Kabla ya hapo alikuwa amepinga kwa nguvu Uario ulioungwa mkono na kaisari Constans I[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Machi.[4][5]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. St. Basil of Ancyra.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92522
  3. Holy martyr Basil, Presbyter of the Church of Ancyra.
  4. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
  5. ВАСИЛИЙ. (Kirusi)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.