Beno wa Meissen

Beno wa Meissen (Hildesheim, leo katika jimbo la Saxony-Anhalt, Ujerumani 1010Meissen, Ujerumani, 16 Juni 1106) alikuwa askofu wa Meissen kuanzia mwaka 1066 hadi kifo chake miaka arubaini baadaye.

Aliheshimiwa kama mtakatifu tangu karne ya 13, lakini alitangazwa rasmi na Papa Adrian VI tarehe 31 Mei 1523.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Foxe, John (1837). The Acts and Monuments of John Foxe: With a Preliminary Dissertation by the Rev. George Townsend. R.B. Seeley and W. Burnside, sold by L. & G. Seeley, 121. 
  • (1963) Butler's Lives of the Saints II. New York: P. J. Kennedy, 556. 

Marejeo mengineEdit

  • Collins, David J. (2001). "Bursfelders, Humanists, and the Rhetoric of Sainthood: The Late Medieval vitae of Saint Benno". Revue Benedictine 111: 508-556.
  • Collins, David J. (2008). Reforming Saints. Oxford: Oxford University Press, 3–6, 28-39, 45-46. 
  • Soergel, Philip M. (1993). Wondrous in his Saints. Berkeley: University of California Press, 181-191. 
  • Volkmar, Christoph (2002). Die Heiligenerhebung Bennos von Meißen (1523/24). Spätmittelalterliche Frömmigkeit, landesherrliche Kirchenpolitik und reformatorische Kritik im albertinischen Sachsen in der frühen Reformationszeit (Reformationsgeschichtliche Studien und Texte; 146) (in German). 

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.